New | Alikiba atoa msaada vifaa vya mazoezi

Alikiba leo 24nov kahama ametoa vifaa vya mazoezi kwenye academy timu ya vijana sports kahama academy kufuatia kujitoa kwake ni kuwa anafahamu thairi kuwa changamoto kubwa kwa vijana wapenzi wa mpira wa timu hizi za academy ni upungufu wa vifaa vya mazoezi yeye baada ya kuliona yeye kama mpezi wa mpira na mpenda kuona vijana wakitimiza ndoto zao hana budi kusaidia pale anapoweza

No comments:

Drop your comment about this..