Tabora mabasi kuwekewa batani ya tarifa police

Tabora ni miongoni mwa mikoa ambayo imetolewa amri mabasi yote yatokayo mkoani humo kwenda mikoani mbarimbari kuhutajika kufungwa kifaa maalumu ambacho kinacho kuwa kama msaada wa talifa kwa wakati mwafaka ambapo kifaa hicho kinakuwa na batani ya rangi ya nyekundu ambayo ikibonyezwa moja kwa moja inapeleka talifa makao makuu ya polisi mkoani humo endapo gari kama ikipata ajari au kuvamiwa au zarura yeyote ambayo inahitajika msaada kwa haraka ambapo mpaka sasa zoezi hiro rinaendelea kufikia telee 19-oct 2018 zisha fungiwa basi takilibani hamsini (50) ambayo hiyo kauli ni ya lazima hivo kira mmiliki Wa mabasi inatakiwa alitekeleze atakae kaidi basi lake halitaweza hata kusogea stand ya tabora

No comments:

Drop your comment about this..