peter okoye shabiki omba msamaha kwa paul kaka yako


staa peter okoye kutoka kwenye kundi la p squair  lililo kuwa likifanya vizuri africa na  nnje ya africa ira kwa sasa hawana maelewano wawili hao ambao pia ni ndugu ameonekana kumujibu shabiki ambaye alimuvamia kuhusiana na kile alikipost kwenye ukulasa wake wa instagram ambapo shabiki huyo alimutaka aachane na mitandao akaweke sawa ungomvi wake yeye na kaka yake paul
Katika ukulasa wake wa instagram wa peter okoye alipost video akiwa amevaa viatu vya LV na kuandika caption inayosema "naonekanaje? badae shabiki akacomment na kusema mr peter okoye haukui kutokana hivi unayo fanya louis vuitton ni shiling ngap mpaka uonyeshe hivo badala ukatengeneze amani na kaka yako uko hapo unaonyesha viatu vya brand,
   peter okoye hakuiacha hiyo kauli ipite bira kumujibu akamujibu kwa kuandika  waite polisi

No comments:

Drop your comment about this..