KENYA MAPUTO YA KUSAFIRISHA INTERNET


kenya ina mkakati wa kutumia huduma ya PLOJECT LOON kutoka kampuni ya Alphabet mradi huo unao sambaza miale ya internet kwa kasi kubwa kwa kutumia maputo na utawalenga wanao ishi vijijini na sehemu zisizo na huduma nzuli ya internet .Ploject loon ni tekenolijia inayo tengenezwa na kampuni ya Google inayo itwa alphabet mladi huo unao sambaza internet kwa njia ya maputo yanayo eleya angani na kutembea maeneo mengi ulitumika kusadia mawasiliano ya internet huko puerto rico na kusadia watu takilibani 250,000 kipindi cha majanga ya kimbunga.    Mr jor mucheru waziri wa habari na teknolaji na mawasiliano aliongea na routers siku ya juma tano kuhusu mradi huo nakusema bado wapo kwenye kumalizia kujaza mkataba  zaidi ya watu milioni 45 kenya wapo ndani ya miji yote wapo kwenye mtandao mzuri ira pia sehemu kubwa ya vijiji bado haina. Alisema kwa kusema kuungwanishwa na internet ni muhimu kama haupo online unaachwa na mengi  

No comments:

Drop your comment about this..