Gigymoney Prezzo hanakitu sasaivi kachoka


msani wa kike kutokea tanzania. Gigymoney ambae kwa sasa anafanya  vizuri na sigle zake zikiwemo mimina na zingine kali amefunguka na kusema kuwa msanii Prezzo msanii kutoke nnchini kenya kwa sasa wala hayupo vizuri kiuchumi hata kimuziki alizibitisha hivo baada ya yeye kuna siku alikua nnchini kenya kwenye club huko nnchini humo gigy alikua akimushudia akigonge bia na baada ya mda ulipo fika wa kweda kira mmoja kupumuzika plezo hakuwa na pakwenda na alikua akiahangaika sana na gigy akasema kwa kwa taanzania kwa sasa tunamuona labda yupo juu ni kwa sababu anatoka kimapenzi na lafiki yangu amberlulu ambaye yupo pia kwenye chati nzuri kimuziki hapa bongo gigy alisema kwa sasa ambaeye yupo vizuri nnchini humo kimuziki na kiuchumi  ni will paul na wengine kama bahati wengineo

No comments:

Drop your comment about this..