FAIDA 4 KUU ZA KUOWA MWANAMKE ANAYEKUZIDI MIAKA 7 AU ZAIDI


Faida za kuowa mwanamke mwenye umuri kukuzidi zaidi ya miaka 7 au zaidi

 1.mpaka kufikia hatua ya kuwa kwenyo ndoa basi jua alipanga kwa wakati na hakushawishiwa na tamaa ya kimaisha kutokea kwako zaidi ya upendo alionao kwako

2.hufanya maamuzi yenye busara mara nyingi  hasa pare mnapo kuwa na tofauti ndani kuliko wewe mwanaume

3.huwa na wivu wa maendereo na siyo wa vitu vya tamaa visivo na mashiko ndani ya ndoa (mfano kutaka kuvaa kama jirani yake kutaka kula kama jilani yake na mengineo

4.kujua jukumu lake kikamilifu kama mama wa familia yani kutimiliza majukumu kwa wakati ambao yapo ndani ya uwezo wake pasipo kusubiri 

No comments:

Drop your comment about this..