Noti bandia tanzania zazuka tena

Tanzania mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu leo mama mmoja mfanya biashara wa kuuza chakura maarufu mama ntirie
Amepokea mteja na akamhudia yule mteja alipo Maliza kutumia chakula akatoa noti ya sh.5000 na kudai chenji iriyobaki maana alitumia chini ya noti hiyo yule mama bira kuchunguza kaweka katika hifadhi yake kumbe pasipo kujua ilikua noti bandia yule mteja baada kurudishiwa chenji yake akaondoka baada ya mda mfupi akatokea mteja mwingine mwenye uhitaji wa kuludishiwa chenji ya sh. 5000 alipo ludishiwa ile noti yule mteja akaikataa na kudai kuwa ni noti bandia basi yule mama akajaribu kutafuta uthibitisho kwa watu pia walio kua kalibu nae wakthibitisha na wao kuwa ni feki maana irikuwa laini sana na nyepesi mno hata ivo irikua pia inauzi sehemu moja upende wa mbere huku nyuma haupo wakati pesa harari kawaida inauzi pande zote
Fuatana Nani Fb spayo kubira
Twitter spayo kubira kwa taarifa Mbari mbari

No comments:

Drop your comment about this..