Nay wa Mitego amwambia Raymond amsaidie MADEE kuandikika mistari


 Rapper mwenye line zenye utata kwenye tungo zake NEY wa MITEGO A.K.A Mr. Ney ameendeleza Tofauti kati yake na MADEE kwa kuikataa Ngoma mpya ya madee #HELA na kumtaka Raymond wa WCB amsaidie rapper huyo kuandika Mistari kwa madai kwamba kaishiwa na Wimbo wake huo hauna mbele wala nyuma lakini alisisitiza kua huo ni mtazamo wake hivyo wananchi wenyewe wataamua.
Hata hivyo Ney bado ameonekana kukaza kuweka wazi Siiri iliyopo kati ya yeye na Matumizi ya Namba #966 ambazo zinahisiwa na wengi kwamba si namba za kawaida huenda anazitumia kiimani na yeye mwenyewe amekiri kwamba ni kweli lakini mwaka huu hautaisha ataweka wazi Siri ya namba hizo zinazoohusiana na Maisha yake.

No comments:

Drop your comment about this..